JESHI NA JESHI LA ANGA LA MUNGU (WALINZI)

na Tony Alamo

Mtumishi wa Elisha alikuwa ameamka mapema, akaona jeshi la Shamu lilikuwa limeuzingira mji ambao yeye na Elisha walikuwamo. Kwa hofu, akamwambia Elisha, “Ole wetu, Bwana wangu! Tufanyeje? [kwa maneno mengine, tutawezaje kutoka katika hali hii tukiwa hai? Kisha Elisha akamwambia mtumishi wake], Usiogope: kwa maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao. Elisha Akaomba [kwa MUNGU] akasema, BWANA, NAKUSIHI, mfumbue macho yake, apate kuona. Na BWANA akayafumbua macho ya mtumishi yule; naye akaona: Na, tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto yaliyomzunguka Elisha pande zote” (2 Wafalme 6:15-17).

Jeshi lile lile au majeshi ya MUNGU ambayo Elisha alimwomba Mungu amuonyeshe mtumishi wake (mtumishi wa Elisha) ndilo jeshi lile lile ambalo MUNGU alitumia kuziangusha kuta za Yeriko (Yoshua 6:20). Yoshua alikutana na MKUU wa majeshi ya BWANA kule Yeriko katika njia hii : “Ikawa hapo, Yoshua alipokuwa karibu na mji wa Yeriko, akainua macho yake na kuangalia, na, tazama, mtu mwanamume akasimama kumkabili mbele yake, naye alikuwa na upanga wa wazi mkononi MWAKE; Yoshua AKAMWENDEA na KUMWAMBIA, Je! WEWE u upande wetu, au upande wa adui zetu? Naye akasema, LA; LAKINI NIMEKUJA SASA KAMA AMIRI WA MAJESHI YA BWANA [YESU kabla hajachukua mwili wa binadamu]. Naye Yoshua akaanguka kifudifudi mbele zake hadi chini, na kuabudu, na AKAMWAMBIA, BWANA wangu anamwambia nini mtumishi WAKE? Na AMIRI wa majeshi ya BWANA akamwambia Yoshua, Vua viatu vyako kutoka miguuni mwako; kwa kuwa mahali usimamapo ni Patakatifu. Na Yoshua akafanya vivyo.
“Basi mji wa Yeriko ulikuwa umefungwa kwa sababu ya wana wa Israeli: hapana mtu aliyetoka, wala hapana mtu aliyeingia. [Hii ilikuwa kwa sababu walijua kuwa MUNGU alikuwa pamoja na Israeli, na pia walijua kuwa MUNGU alikuwa anakwenda kuwaangamiza.] BWANA akamwambia Yoshua, Tazama, nimeutia Yeriko katika mkono wako, na mfalme wake, na mashujaa wake.

“Nanyi mtauzunguka mji huu, watu wote wa vita, mkiuzunguka mji mara moja. Mtafanya hivi siku sita. [Hii ilikuwa ili kuwatia hofu watu wenye dhambi wa Yeriko kabla ya maangamizo yao makamilifu] Na makuhani saba watachukua tarumbeta saba za pembe za kondoo waume, mbele ya hilo sanduku (la agano); na siku ya saba mtauzunguka mji mara saba, nao makuhani watapiga tarumbeta zao. Kisha, itakuwa watakapopiga hizo pembe za kondoo waume kwa nguvu, nanyi mtakaposikia sauti ya tarumbeta, watu wote watapiga kelele kwa sauti kuu; na ukuta wa mji utaanguka chini pale pale, [kazi hii itafanywa kwa mkono usioonekana wa BWANA wa majeshi], na hao watu (Waisraeli) watapanda, kila mtu akiendelea mbele kukabili. 

“Basi Yoshua, mwana wa Nuni, akawaita makuhani, akawaambia, Lichukueni sanduku la agano, tena makuhani saba na wachukue tarumbeta saba za pembe za kondoo waume mbele ya sanduku la BWANA. Naye akawaambia watu, Piteni mbele, mkauzunguke mji, na hao watu wenye silaha na watangulie mbele ya sanduku la BWANA. Basi ikawa, Yoshua alipokwisha kusema na watu, wale makuhani saba, [Wayahudi] wenye kuzichukua tarumbeta saba za pembe za kondoo waume walipita mbele za BWANA, wakatangulia, wakazipiga hizo tarumbeta; nalo sanduku la agano la BWANA likiwafuata. Na wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliozipiga tarumbeta, na majeshi waliobakia wakafuata sanduku la agano, huku makuhani wakitembea na kuzipiga tarumbeta. Yoshua akawaamuru watu, akisema, Msipige kelele, wala sauti zenu zisisikiwe, wala neno lolote lisitoke kinywani mwenu, hata siku ile nitakapowaamuru kupiga kelele, ndipo mtakapopiga kelele.

“Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja:  Kisha wakaenda kambini wakakaa kambini. Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA. Na wale Makuhani saba wakazichukua tarumbeta saba za pembe za kondoo wa kiume mbele ya sanduku la BWANA, wakaendelea wakizipiga tarumbeta; na Watu wenye silaha wakawatangulia, na hao waliokuwa nyuma wakalifuata sanduku la BWANA; makuhani wakizipiga tarumbeta walipokuwa wakienda. Siku ya pili wakazunguka mji mara moja, wakarejea kambini; ndivyo walivyofanya siku sita.

“Ikawa siku ya saba, wakaondoka asubuhi na mapema wakati wa mapambazuko, wakauzunguka mji vivyo hivyo mara saba; ila siku hiyo waliuzunguka huo mji mara saba. Ikawa mara ya saba, makuhani walipozipiga tarumbeta, Yoshua akawaambia watu, Pigeni kelele; kwa maana BWANA amewapeni mji huu. Na mji huu utakuwa wakfu kwa BWANA, mji wenyewe na vitu vyote vilivyomo; Isipokuwa Rahabu yule kahaba, ataishi, yeye na watu wote walio pamoja naye nyumbani, kwa sababu aliwaficha hao wapelelezi tuliowatuma. Na ninyi msikose kujiepusha na kitu kilichowekwa wakfu; msije mkakitwaa kitu kilichowekwa wakfu, baada ya kukiweka wakfu; nanyi hivyo mtayafanya matukio ya Israeli kuwa yamelaaniwa na kufadhaisha. Lakini fedha yote, na dhahabu, na vyombo vya shaba na chuma ni vitakatifu kwa BWANA; vitaletwa katika hazina ya BWANA.

“Basi watu wakapiga kelele, na makuhani wakazipiga tarumbeta; hapo, watu waliposikia sauti ya tarumbeta, hao watu wakapiga kelele kwa sauti kuu sana, na  ule ukuta wa mji ukaanguka nchi (chini) kabisa [jambo hili lilifanikishwa na majeshi ya BWANA na MKUU wa majeshi ya BWANA], hata watu wakapanda juu, wakaingia katika mji, kila mtu akiendelea kukabili mbele; wakautwaa huo mji” (Yoshua 5:13-6:20).

Katika kitabu cha Enoki, Nabii mkuu Enoki anatabiri kuhusu walinzi. Hawa walinzi ni malaika wa MUNGU, na ni jeshi la mbinguni la BWANA. Wakati mwingine wanasemekana kuwa malaika walinzi wa watakatifu wa MUNGU hapa duniani.

Kunao malaika wabaya, na kuna malaika wazuri. Ufunuo 12:4 inasema kwamba theluthi moja ya malaika hawa – wale wabaya – walitupwa kutoka Mbinguni pamoja na kiongozi wao, Shetani mwenyewe (Luka 10:18). Lakini kumbuka, theluthi mbili ya malaika – wale wazuri – walibakia kwenye utumishi wa MUNGU. Wale wabaya, theluthi moja, si wabaya tu, bali ni hatari sana
Ufunuo 12:3 inasema “IKAONEKANA ishara nyingine mbinguni; Na tazama, joka kubwa jekundu [shetani], lilikuwa na vichwa saba…” “Vichwa saba ni milima saba [ya Roma, Italia], ambapo mwanamke amekaa” (Ufunuo 17:9).
Mwanamke huyu ni nabii wa uongo, kanisa la uongo, kanisa la kishetani, kichwa cha yule mnyama ambaye ni Vatican, kanisa la katoliki la Kirumi, mashoga, kanisa linalo nyanyasa watoto kijinsia.

Ufunuo 12:3 inaendelea kusema kwamba hivi vichwa saba vina pembe kumi. Hizi pembe kumi zinaashiria Mataifa kumi ya Ulaya ambayo yanaipa nguvu Vatican Roma (Umoja wa Mataifa, Mpangilio Mpya wa Dunia) kwa muda mfupi (taifa la mwisho likiwa ni Ugiriki), ambayo yamejiunga pamoja na Mpangilio Mpya wa Shetani, au serikali moja ya dunia. “…na vilemba (taji) saba kichwani mwake [hivi vilemba (taji) saba vinawakilisha mpangilio mpya wa dunia wa Shetani ambao kwa muda utatawala mabara yote saba, au kwa maneno, mengine dunia nzima].”1

“Na mkia wake wakokota theluthi moja ya nyota za Mbinguni [Nyota ni malaika waovu.2 Ufunuo 1:20 inasema nyota ni ishara ya malaika], na [joka, Shetani] aliwatupa [theluthi moja ya wale malaika waovu na wabaya] duniani: Na yule Joka [Shetani] akasimama mbele ya mwanamke yule [aliye na zile nyota kumi na mbili kwenye taji lake. Huyu (Mwanamke) ni Bibi Harusi wa KRISTO, Yerusalemu Mpya, ambaye ni MWILI halisi wa KRISTO hapa duniani, Israeli wa kweli, wale walio Wakristo, siyo kamwe wakatoliki, waliotokana na watu wa Mungu waliochaguliwa, Wayahudi. Sasa MUNGU anatoa wokovu kwa watu wa mataifa yote ambao watampokea KRISTO kama wokovu wao]” (Ufunuo 12:4).
Ufunuo 12:4 inasema mwanamke huyu (MWILI wa KRISTO) alikua karibu kuzaa mtoto, ambaye alikua KRISTO. Hii inaturudisha nyuma hadi wakati ule Shetani, kupitia kwa Mfalme Herode na jeshi lake, alikuwa amesimama mbele ya Israeli ili kumwangamiza KRISTO wakati wa kuzaliwa KWAKE na/ au miaka miwili iliyofuatia,3 kwani KRISTO bado alikuwa MFALME wa wafalme na BWANA wa mabwana, MWOKOZI wa ulimwengu, YEYE ambaye angeziharibu kazi za Shetani kwa kuokoa nafsi za wote ambao WANGEMKUBALI kama MWOKOZI na mamlaka  yao.4 Wakolosai 2:15 inasema kwamba KRISTO “akishawapokonya nguvu na mamlaka yao hao pepo watawala… aliwafanya kuwa kitu cha fedheha hadharani, akawashinda katika msalaba.”

Hizi ni siku za mwisho.5 Dunia imejawa na jeshi la MUNGU, na anga imejawa na jeshi la anga la MUNGU. Hizi ni UFOs ambazo mamilioni ya watu wameziona ulimwenguni kote. Kwa sababu watu wa ulimwengu hawalijui NENO la MUNGU, wanaamini kuwa viumbe hawa (UFOs) ni wageni kutoka kwenye sayari zingine. Tukifahamu Biblia, tunafahamu jinsi gani watu wa ulimwengu wamedanganyika, kwa sababu hivi “visahani vinavyoelea angani” (viumbe vilivyo na umbo la sahani vinavyoelea angani) vinavyoitwa UFOs, havitoki kwenye sayari nyingine. Hawa ni “walinzi,” malaika wa MUNGU, wanaoichunguza kwa undani dunia kabla ya KRISTO kurudi duniani tena. Walinzi wanajitayarishia hukumu.

Ufunuo 16:1 inasema, “Kisha nikasikia sauti kuu kutoka Hekaluni, ikiwaambia wale malaika saba, enendeni mkavimimine vile vitasa saba vya ghadhabu ya MUNGU juu ya nchi.” Katika Danieli 4:13, “Mlinzi [malaika] na mtakatifu walishuka  kutoka mbinguni” Wakileta hukumu ya MUNGU kwa mfalme aliyekuwa na kiburi Nebukadreza, aliyesema kwenye kitabu cha Danieli 4:30, “Mji huu sio Babeli kubwa nilioujenga mimi, uwe kao langu la kifalme, kwa uwezo wa nguvu zangu [badala ya nguvu za MUNGU], ili uwe utukufu wa enzi yangu [badala ya utukufu wa MUNGU]?”

Hii hapa ni hukumu ambayo MUNGU alimpa mlinzi ili kuifanya dhidi ya Mfalme Nebukadreza: “Hata neno lile lilipokuwa [bado] katika kinywa cha mfalme [aliyejawa na kiburi] sauti ilikuja kutoka mbinguni, ikisema, Ee Mfalme Nebukadreza, maneno haya unaambiwa wewe; Ufalme umeondoka kwako. Nawe utafukuzwa [na walinzi] mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa kondeni ; utalishwa majani kama ng’ombe, na nyakati saba zitapita juu yako, hata utakapojua ya kuwa yeye ALIYE JUU SANA ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa AMTAKAYE ye yote. Saa iyo hiyo jambo hilo likatimizwa, likampata Nebukadreza: Alifukuzwa mbali na wanadamu, akala majani kama ng’ombe, na mwili wake ulilowa maji kwa umande wa mbinguni, hata nywele zake zikawa kama manyoya ya tai, na kucha zake kama kucha za ndege” (Danieli 4: 31- 33).
Katika kitabu cha Yeremia 4:16, MUNGU alimwambia Yeremia, “Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.” Kumekuwa na ghadhabu kubwa dhidi ya miji ya Yuda. Hii ni kwa sababu bado wanamkataa YESU kama MASIHI hadi leo hii.

Ninaamini kwamba karibu kila mtu duniani anafahamu kuhusu mamilioni ya kuonekana kwa UFOs (vitu vipaavyo angani visivyojulikana), lakini sio UFOs. Ni walinzi au malaika wa MUNGU wanaoipeleleza dunia katika hizi siku za mwisho kabla tu ya hukumu ya MUNGU, mwisho wa dunia, mwisho wa wakati. Katika huruma za MUNGU, ANAKUBALISHA kila mtu kushuhudia mamia ya nabii za siku za mwisho, ishara, na maajabu kama vile walinzi, malaika wa MUNGU, wanaoipeleleza dunia kwenye vinavyosemekana kuwa “visosa vinavyopaa angani” kabla tu haijaangamizwa (dunia). Kitabu cha Yoeli kinatoa unabii huu,6 kama vile afanyavyo mtume Petro katika kitabu cha Matendo ya Mitume: “Itakuwa siku za mwisho, asema MUNGU, nitawamwagia watu wote ROHO YANGU na wana wenu na binti zenu watatabiri, na wana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto: Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake ROHO YANGU; nao watatabiri: Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini; damu na moto, na mvuke wa moshi: Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa ile siku ya BWANA iliyo kuu na iliyo dhahiri: Na itakuwa, kila atakayeliitia jina la BWANA ataokolewa” (Matendo 2:17- 21).

Walinzi, ambao ni malaika wa Mbinguni, na sisi tulio Wakristo (siyo wakatoliki), tuna uhusiano kwa kuwa MUNGU alituumba sote. MUNGU aliumba malaika, na MUNGU alituumba sisi. Kuna wanadamu wema, na kuna wanadamu wabaya, kwa sababu ni wachache wetu tu ambao tunazitimiza amri za MUNGU.7 1 Yohana 2:3-4 “Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua YEYE, ikiwa tunashika amri ZAKE. Yeye asemaye, nimemjua wala hazishiki amri zake, ni mwongo na kweli haimo ndani yake.”

Baadhi ya watu wanajivuna kuwa wanampenda BWANA. Hata hivyo, katika maisha yao ya kila siku, hawaitikii wito wa MUNGU, badala yake huipuuza sauti YAKE. Wengine wanasema wanampenda BWANA wanapokua katika msisimko wa hisia. Kwa mfano, wanapojisikia kuangalia sinema, au kuangalia kipindi kwenye runinga, tukio la michezo, au tukio la muziki, kuna kitu ndani yao kinachowakataza kwenda, lakini wanaenda hata hivyo. Wanajua kwamba hawapaswi kutenda dhambi kubwa, lakini hawajalishwi na yale wanayofikiria kuwa ni mambo madogo madogo. Wakati wanaposali kwenye ibada, wanaweza kutoa ushuhuda kuwa wameguswa na ROHO wa BWANA. Kuna watu wengi wanaojiita wakristo ambao wako hivi. Kwa kweli, kumpenda BWANA kwa namna hii hakuna maana.8

Dada mmoja anaweza kuwa na ari kubwa juu ya BWANA kwamba kaka kumi kwa pamoja hawawezi kumfikia. Anapoongelea kuhusu kumpenda BWANA, wanaomsikiliza wanaweza kuguswa kiasi cha kutokwa na machozi. Cha kushangaza hata hivyo, yule dada anapokuwa na hasira, hakuna anayeweza kumshika. Maisha kawaida ni maisha yasiyo ya uhalisia (maisha ambayo si ya MUNGU). Siku moja, yote yaliyo ya maisha ya kawaida lazima yavunjwe vipande vipande. Tunahitaji kuguswa kweli na BWANA kuona vizuri shauku yetu, bidii yetu ya uongo, mapenzi yetu ya uongo kwa BWANA, na utumishi wetu wa uongo kwa BWANA yote ni ya kawaida na haina hata chembe ya MUNGU ndani yake, si ya kweli. Haijalishi kiasi cha safu za kuta za chuma shaba, ambazo tuko nazo, na haijalishi hata lile lango la nje, lango la kati, au lango la ndani, haya yote ni lazima yafunguliwe moja baada ya jingine, kwa BWANA, kulingana na ROHO aliye ndani. Kisha tutatambua kwamba katika maneno yetu ya shauku na bidii, hatuwezi kumwona BWANA MWENYEWE. Ila tu wakati tumeongozwa au kuguswa na BWANA kiasi cha kwamba YEYE anaweza kuachiliwa kwa ukweli kutoka ndani mwetu hapo ndipo tutaweza kuzaa matunda mengi, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yohana 15:2. Tunda lililo kwenye mti linapatikana kwa sababu ya UHAI uliomo.

Hivyo basi, wanadamu wenye uhusiano na malaika waovu ni wanadamu waovu. Lakini kumbuka, kuna malaika wengi wa MUNGU kuliko malaika waovu. Elisha alimwonyesha mjakazi wake haya wakati jeshi la Shamu lilipowazunguka. Elisha alimsihi BWANA kufungua macho ya mtumishi wake ili aweze kuona kuwa kulikuwa na wengi pamoja naye na pamoja na Elisha kuliko waliokuwa na Washamu. Wakati aliyatenda, “Tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto [majeshi ya BWANA] yaliyomzunguka Elisha [na mtumishi wake],” Jinsi majeshi ya ufalme wa MUNGU yalivyo leo pamoja na walinzi wakituzunguka na kutulinda, wakiyaangalia yote ambayo kila mmoja anasema na kutenda hapa duniani (2 Wafalme 6:17). Haya yanatokea kupitia kwa walinzi wa MUNGU kila mahali katika mbingu kwa visahani vinavyoelea angani na kwa walinzi duniani - jeshi la ardhini na jeshi la angani la MUNGU.9

Ni wakati muafaka kwa kila mtu ulimwenguni kutubu dhambi zake na kumtafuta MUNGU kwa moyo wote, roho, akili na nguvu zote, ambayo ndio amri ya kwanza na yenye umuhimu kuliko zote.10 Hivi punde anga ya mashariki itajaa ishara ya MWANA wa ADAMU. Kuna maandiko kadhaa yanayofafanua tukio hili. Moja ni kutoka kitabu cha Mathayo sura ya ishirini na nne. Andiko lingine ni kutoka sura ya pili ya kitabu cha Isaya. Pia lingine liko katika kitabu cha Ufunuo sura ya sita.

Mathayo 24:30-51 inasema “Ndipo itakapoonekana ishara yake MWANA wa ADAMU mbinguni; ndipo mataifa mengi ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona MWANA wa ADAMU akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. NAYE atawatuma malaika ZAKE [jeshi la BWANA, walinzi] pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule WAKE kutoka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu. “Basi kwa mtini jifunzeni mfano huu; Tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu; nanyi, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, mlangoni. Amin nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. Naam, Mbingu na nchi zitapita; lakini MANENO YANGU hayatapita kamwe…kwa maana kama ilivyokuwa siku za Nuhu, Ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake MWANA wa ADAMU. Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika, watu walikuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile alipoingia Nuhu katika Safina, wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake MWANA wa ADAMU... Kesheni basi: kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. Lakini fahamuni neno hili: kuwa mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. Kwa sababu hiyo, ninyi nanyi jiwekekeni tayari: kwa kuwa katika saa msiyodhani MWANA wa ADAMU yuaja. “Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu na mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape chakula kwa wakati wake? Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. Amin nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote. Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia; Akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi; Bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua, Atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu pamoja na wanafiki; Ndiko kutakuwa na kilio na kusaga meno.”

BWANA hutupa ishara nyingi, hivyo basi, ukiwa makini, hautakutwa ukiwa haupo tayari. Hapa yako maono mengine ambayo unapaswa kuyaweka akilini mwako, kwa sababu maono haya yanakwenda kuwa ukweli upesi kuliko udhaniavyo: “Kisha nikaziona mbingu zimefunuka [haya ni maono mengine ya mwisho wa wakati kutoka kwa MUNGU], na tazama farasi mweupe, NA YEYE aliyempanda, aitwaye MWAMINIFU na WA-KWELI, naye kwa haki AHUKUMU na kufanya vita. Na macho YAKE yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa CHAKE taji (vilemba) nyingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila YEYE MWENYEWE. NAYE amevikwa vazi lililochovywa katika damu: Na jina LAKE aitwa, NENO la MUNGU. NA MAJESHI YALIYO MBINGUNI WAKAMFUATA, WAMEPANDA FARASI WEUPE [huyu ni BWANA na jeshi LAKE, walinzi], na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe safi. Na Upanga mkali hutoka kinywani MWAKE, ili awapige mataifa kwa huo: NAYE atawachunga kwa fimbo ya chuma, [NENO la MUNGU]: naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya MUNGU MWENYEZI. NAYE ana jina limeandikwa katika vazi LAKE na  paja LAKE , MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA [Huyu ni YESU BWANA wetu]” (Ufunuo 19:11- 16).

Kwa sasa twaishi katika dakika za mwisho za nyakati za mwisho. Dalili zote ziko hapa. Serikali moja ya dunia ya mpinga Kristo inaendelea na operesheni yake sasa. Kitengo cha anga cha MUNGU kimekua katika operesheni kwa miaka mingi, na mamia ya mamilioni ya watu wamewaona (vijisahani vinavyoelea angani, walinzi, malaika jeshi la anga la kifalme la MUNGU). Papa kule Roma anajivunia jinsi Mpango Mpya wa Dunia ulivyo wa ajabu. Kuna Sunami, dhoruba za bahari, mitetemeko ya ardhi, mapigo ya kila aina, magonjwa, mifarakano baina ya mataifa, mateso, na mamia ya laana za kila aina.

Lazima uwe mwema au mbaya.11 Aidha, utampokea KRISTO kama MWOKOZI wako, au UTAMKATAA. MCHAGUE sasa, kabla hujachelewa. Umebakiza pumzi moja, pigo moja la moyo kufikia maisha ya milele.12 Ni kwa ajili ya roho yako kuomba  sala hii. Kisha ubatizwe, kwa kuzamishwa kabisa majini, kwa jina la BABA, la MWANA, na ROHO MTAKATIFU.13 Soma toleo la Biblia la Mfalme Yakobo (KJV) la “THE BIBLE LEAGUE – Waenezaji wa Neno la Mungu tangu 1938],” na uzitimize amri.14 Enenda katika ROHO wa MUNGU.15

OMBI

BWANA wangu na MUNGU wangu, ihurumie roho yangu, mimi mwenye dhambi.1 Ninaamini kwamba YESU KRISTO ni mwana wa MUNGU aliye hai. 2 Ninaamini kwamba alikufa msalabani na kumwaga damu yake ya thamani ili nisamehewe dhambi zangu zote nilizozifanya hapo awali.3 Ninaamini kwamba Mungu alimfufua YESU kutoka kwa wafu kupitia nguvu za ROHO MTAKATIFU4 na ya kuwa ameketi upande wa kuume wa MUNGU kwa wakati huu akisikiliza maungamo ya dhambi zangu na haya maombi yangu.5 Ninafungua mlango wa moyo wangu na kukukaribisha moyoni mwangu, BWANA YESU. 6 Nioshe dhambi zangu kwa damu uliyoimwaga kwa ajili ya nafsi yangu pale msalabani Kalivari,7 hutanikataa, BWANA YESU, utanisamehe dhambi zangu na kuiokoa roho yangu. Ninalijua hili kwa sababu NENO LAKO, yaani Biblia linasema hivyo.8 NENO LAKO linasema hutamkataa yeyote na mimi nikiwemo.9 Hivyo ninajua umenisikia na umenijibu; na ninafahamu kwamba nimeokoka.10 Ninakushukuru BWANA YESU kwa kuokoa roho yangu na nitaonesha shukrani zangu kwa kufanya yale unayoniamuru na kwa kutotenda dhambi tena.11

Baada ya kuokoka YESU alisema ni lazima kubatizwa kwa kuzamishwa kabisa kwenye maji mengi kwa jina la BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU.12 Kwa makini soma Biblia ya KJV, tafsiri ya Kiswahili ya The Bible League, Waenezaji wa Neno la MUNGU tangu 1938 na ufanye inavyosema.13

Kama unapenda kumtumikia BWANA, unaweza kufanya hivyo katika kanisa letu kama ukizishika sheria.

Kisha, kama anavyoamuru YESU, kuwa muongoaji roho. Unaweza kufanya hivi kwa kuwa msambazaji wa maandiko ya Mchungaji Alamo. Tunachapa maandiko ya Mchungaji Alamo katika lugha nyingi, na kuyapeleka kote ulimwenguni. Tunatumia mamilioni ya dola kwenye karatasi na usafirishaji, hivyo tunahitaji sala zako na msaada wa kifedha.

Iwapo unataka dunia yote iokolewe, kama YESU anavyoamuru, basi usimwibie MUNGU zaka na sadaka zake. MUNGU alisema, “Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote [na dunia hii yote]. Leteni zaka [zaka ni asilimia 10 ya mapato yako yote] kamili ghalani, ili kiwemo chakula [chakula cha kiroho] katika nyumba yangu [roho zilizookolewa], mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi” (Malaki 3:8-12).

MUNGU anatuamuru kuwasahihisha na kuwaadhibu watoto wetu.14 Ndoa imeruhusiwa na MUNGU katika umri wa kupevuka wakati ambapo watoto wanakuwa wanaume na wanawake. Kuzuia hili ni mafundisho ya Shetani (1 Timotheo 4:1-3). Mchungaji Alamo yupo gerezani kwa kuhubiri kile isemacho Biblia.


Swahili Alamo Literature

Tafadhali wasiliana nasi kwa habari zaidi au kwa vitabu vyetu vyenye mada nyingine ambazo unaweza kuvutiwa nazo:

Tony Alamo, World Pastor, Tony Alamo Christian Ministries Worldwide 

P.O. Box 2948, Hollywood, CA 90078

Namba yetu ya simu kwa ajili ya maombi na habari iliyo wazi kwa saa ishirini na nne ni: (661) 252-5686  •  Faksi: (661) 252-4362

Huduma ya Tony Alamo Christian Ministries Worldwide hutoa mahali pa kuishi pamoja na vitu vyote muhimu kwa maisha kwa wale walio Marekani ambao wanataka kumtumikia BWANA kwa mioyo yao yote, roho zao zote na nguvu zao zote.

Huduma yetu hufanyika jijini New York kila Jumanne, saa mbili usiku na mahali pengine kila usiku.

Tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba (908) 937-5723 kwa habari zaidi. CHAKULA HUTOLEWA BAADA YA KILA IBADA.

Tuma maombi ujipatie kitabu cha Mchungaji Alamo kiitwacho, The Messiah, kinachomwonesha KRISTO alivyo katika Agano la Kale kwa jumbe za unabii zipatazo 333.

Kuwa mmoja wa watumishi katika kuvuna roho za watu kwa kuwa msambazaji wa makala na vitabu vya Mchungaji Alamo

Machapisho yetu na jumbe kwenye tepu za sauti hayalipishwi kitu ikiwemo gharama ya kusafirisha kupitia meli.

Iwapo kuna mtu atajaribu kukulipisha, tafadhali tupigie simu kwa namba: (661) 252-5686.

MAKALA HIZI ZIMEBEBA MPANGO WA KWELI WA UKOMBOZI (Matendo ya Mitume 4:12)

USIZITUPE: ZIFIKISHE KWA MTU MWINGINE.

Kwa wale ambao mko kwenye nchi nyingine, tunawashauri kutafsiri makala hizi kwa lugha zenu. Iwapo mtachapisha tena, tafadhali jumuisha haki hii na usajili:

© Hatimiliki Februari 2013 Haki zote zimehifadhiwa Mchungaji wa Dunia Tony Alamo ® Imesajiliwa Februari 2013
SWAHILI—Vol. 17400—The Army and Air Force of God (The Watchers)


footnotes:

1. Dan. 2:40, 7:19-25, Ufu. 13:2-8, 14:8, Kifungu 17, 18:2-24 return

2. Isa. 14:12-17, Mat. 25:41, Lk.10:18, 2 Pet. 2:4, Yuda mstari 6, Ufu. 12:3-4, 7-9 return

3. Mat. 2:1-18 return

4. Dan. 7:13-14, 1 Tim. 6:14-16, Ebr. 2:14-15, 1 Yoh. 3:8, 4:14-15, Ufu. 17:14, 19:16 return

5. Mat. Sura ya. 24 return

6. Yoe. 2:28-32 return

7. Mat. 7:13-14, 21-23, Lk. 13:23-30 return

8. Mat. 7:21-23, Sura ya. 25 return

9. 2 Nya. 16:9, Zek. 1:7-11, 4:10, 6:1-7, Ufu. 7:1-3 return

10. Kum. 4:29, 6:5, 10:12-13, 11:13-14, 13:3-4, 16, 20, 26:16, 30:6, Yos. 22:5, Mat. 22:37-40, Mk. 12:29-31, Lk. 10:27 return

11. Mat. 7:15-20, Yak. 3:11-12, Ufu. 20:11-15, 21:7-8, 24-27, 22:11-12, 14-15 return

12. Muh. 3:19, Isa. 2:22 return

13. Mat. 28:19-20 return

14. 2 Tim. 2:15, 3:14-17 return

15. Eze. 36:27, Rum. 8:1-14, Gal. 5:16-25 return


Prayer footnotes:

1. Zab. 51:5, Rum. 3:10-12, 23   return

2. Mat. 26:63-64, 27:54, Lk. 1:30-33, Yoh. 9:35-37, Rum. 1:3-4   return

3. Mdo. 4:12, 20:28, Rum. 3:25, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 5:9   return

4. Zab. 16:9-10, Mat. 28:5-7, Mk. 16:9, 12, 14, Yoh. 2:19, 21, 10:17-18, 11:25, Mdo. 2:24, 3:15, Rum. 8:11, 1 Kor. 15:3-7   return

5. Lk. 22:69, Mdo. 2:25-36, Ebr. 10:12-13   3 return

6. 1 Kor. 3:16, Ufu. 3:20   return

7. Efe. 2:13-22, Ebr. 9:22, 13:12, 20-21, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 1:5, 7:14   return

8. Mat. 26:28, Mdo. 2:21, 4:12, Efe. 1:7, Kol. 1:14   return

9. Mat. 21:22, Yoh. 6:35, 37-40, Rum. 10:13   return

10. Ebr. 11:6   return

11.Yoh. 5:14, 8:11, Rum. 6:4, 1 Kor. 15:10, Ufu. 7:14, 22:14   return

12. Mat. 28:19-20, Yoh. 3:5, Mdo. 2:38, 19:3-5   return

13. Yos. 1:8, 22:5, Zab. 1:1-2, 2 Tim. 2:15, 3:14-17, Yak. 1:22-25, Ufu. 3:18   return

14. Mit. 13:24, 19:18, 22:6, 15, 23:13-14, 29:15, 17, Ebr. 12:5-11, Ufu. 3:19 return