NJIA PEKEE YA KUTOKEA

na Tony Alamo

Mbegu ambayo MUNGU alimwambia Abrahamu kwamba itabariki mataifa yote ilikuwa ni mbegu yenye maisha yasiyo na kikomo ndani yake (Mwanzo 12:3). Mbegu zote zina maisha ya muda mfupi au mchache ndani yao, bali mbegu moja pekee ina uzima wa milele ndani yake na “mbegu hiyo ni NENO la MUNGU,” ambalo ni YESU (Luka 8:11).1 YESU ndiye mbegu pekee na pia ni mpanzi wa mbegu, NENO la MUNGU (Luka 8:5-15). Sisi tulio hekalu la MUNGU na Mwili wa KRISTO, Bibi arusi WAKE, tunaye YESU pamoja na BABA kwa ROHO aishiye ndani yetu, hivyo sisi nasi kwa ROHO tumekuwa wapanzi wa mbegu ya uzima wa milele, ambayo kwa mara nyingine ni KRISTO, aliye NENO (Yohana 4:36).2

Pia, sisi ni wale walioitwa kutoka ulimwenguni, kanisa.3 Tena, mbegu, YESU, ndiye NENO la MUNGU. Sisi, watakatifu, tulioitwa toka ulimwenguni, kanisa – vyote hivi ni uzima, uzima wa milele, ambao ni mbegu yenye kutokufa na tena, ni NENO la MUNGU, ambalo ni MUNGU aliyefanyika mwili akaishi kati yetu, IMANUELI, ambalo lamaanisha. MUNGU yu pamoja nasi (Mathayo 1:23).

Baadhi ya wapumbavu husema, “Vema, najua kwamba sisomi Biblia kama ninavyotakiwa,” wakidhani maneno haya ya kijinga wasemayo ni namna ya kujishusha na kunyenyekea, kukiri ukweli, na kwamba watajinasua kutoka kwenye kiopoo kwa kusema mambo haya ya kilegevu. Hata hivyo, wanajiumiza wenyewe milele. Kwa maana “imani huja kwa kusikia, na kwa kusikia NENO la MUNGU,” ambalo ndilo mbegu, kitu pekee chenye uzima wa miele ndani yake (Warumi 10:17). NENO ni MUNGU (Yohana 1:1). MUNGU ni wa milele, hivyo kama MUNGU anaishi ndani yako kwa utakatifu kupitia kwa NENO, hutakufa kamwe, kama ukiendelea kuwa imara mpaka mwisho.4

Kila kitu tuonacho duniani kimefufuliwa na NENO la MUNGU kutoka ardhini, ili tuweze kuona wazi wazi, hasa wale tunaomjua MUNGU au tuliowahi KUMFAHAMU.

“Kwa maana ghadhabu ya MUNGU imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu wapingao kweli kwa uovu. Kwa kuwa mambo ya MUNGU yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana MUNGU aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo YAKE yasiyoonekana tangu kuumbwa kwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani uwezo WAKE wa milele na UUNGU wake; hata wasiwe na udhuru; kwa sababu walipomjua MUNGU [waliokuwa wakristo hapo awali] HAWAKUMTUKUZA kama ndiye MUNGU, wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa MUNGU asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

“Kwa ajili ya hayo MUNGU aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakaivunjia  miili yao heshima. Kwa maana walibadili kweli ya MUNGU kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina. Hivyo MUNGU aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

“Na kama walivyokataa kuwa na MUNGU katika fahamu zao, MUNGU aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya, wenye kusingizia, wenye kumchukia MUNGU, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao, wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na mahaba asilia, wasio na rehema; ambao wakijua sana hukumu ya haki ya MUNGU [kwa sababu kwa wakati fulani walikuwa wameokoka], ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao” (Warumi 1:18-32).5

Ulimwengu sasa umerudi na kufanana na ulimwengu ule wa siku za Nuhu (Mwanzo 6:5-7, Mathayo 24:37-44). Akili za watu leo zimebadili kweli ya MUNGU kuwa uongo (Warumi 1:21-25).6 MUNGU ndiye mbegu ya pekee YEYE ndiye mbegu pekee iliyo na uzima wa milele ndani YAKE. Na wanasema sasa, kama walivyosema nyakati za Nuhu, kwamba kweli hii ya MUNGU iliyo mbegu pekee ya uzima wa milele ni uongo, na wanafundisha watoto wetu upotovu huu mwovu na wa kuudhi katika shule zote za umma. Haiwatoshi kuoana wenyewe kwa wenyewe. Wanataka kuwafundisha watoto wetu kwamba kweli ya MUNGU ni uongo. Wamekubali mapepo (mapepo ya ushoga) ndani yao, mapepo imara yanayowafanya kuabudu mambo ambayo ni tamaa za mwili, hivyo wanakitumikia kiumbe zaidi ya Muumba (Warumi 1:25). Kwa sababu hii, MUNGU anawaacha waende. AMEWAACHA wafuate tamaa mbaya, tabia zao wenyewe za tamaa zao mbaya, ambazo wanavyomkataa sana. MUNGU anaona jinsi walivyomkataa YEYE na uzima WAKE wa milele, kwa uovu wanapambana naye, kwa hiyo MUNGU hashughuliki nao tena. MUNGU amewaacha na kuwaruhusu kupata kile wanachotaka, ambacho ni kufuata tamaa zao mbaya za kuudhi! ANAWAACHA wafanye walichochagua kufanya – wanawake kwa wanawake, wanaume kwa wanaume, usagaji na ushoga.

Hata hivyo, mbegu ya MUNGU, ya uzima wa milele, haitaishi katika roho iliyochukiza, kwani itabadili kweli ya MUNGU kuwa uongo! Pepo hili la ushoga lina nguvu, bali YESU, mbegu yenye uzima wa milele ndani YAKE, ana nguvu zaidi.7 MUNGU anatuambia tumpinge Shetani naye atatukimbia (Yakobo 4:7).8 Lakini serikali ya dunia husema kama tukiupinga ushoga, tunafanya uhalifu wa chuki.

Kabla YESU hajapaa kurudi Mbinguni, ALIYASHINDA mauti, Kuzimu, Kaburi, Shetani, na mapepo yote ya upotovu, lakini yeyote akataaye uzima wa milele atafidiwa kwa maamuzi yake ya uovu.9 Watapokea ndani yao wenyewe malipo  hayo ambayo ni Jehanamu na Ziwa la Moto, mateso milele. Wanajitendea haya wenyewe kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu (Luka 17:26-30).
Umekuwa ni mtindo kwa sasa kumfuata Shetani, ambaye ameudanganya ulimwengu mzima (Ufunuo 12:9).10

Kile vinachofanya vyombo vya habari na serikali wamelifanya neno la mungu kuwa uhalifu wa chuki. Lakini hayo ndiyo maisha pekee na mbinu za kuepuka kutoka kwenye maumivu makali na mateso ya milele katika Jehanamu na Ziwa la Moto. YESU na watu WAKE ndio pekee wanaojali roho yako. Usiiruhusu roho ya Shetani kukushawishi kwa namna nyingine yeyote. Hukuzaliwa shoga. Pepo linawezakuwa lilikuingia ulipokuwa mdogo sana, lakini YESU hufukuza mapepo toka kwa watu.11 YEYE ni UZIMA na uzima tele.12 “Mimi nilikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele” (Yohana 10:10).

Nikikuonyesha jinsi ya kuepuka hukumu ya milele, utaamini kwamba huu ni uhalifu wa chuki. Maisha hapa ni mafupi, bali umilele ni mrefu.13 Hauna mwisho. Roho za watu zitaishi milele Mbinguni au Kuzimu.14 Sote tu wanadamu. Sote tumepewa haki ya kuchagua uzima au mauti, mema au mabaya, MUNGU au Shetani.15 ROHO wa MUNGU anapoingia ndani yako nawe ukaendelea kuwa NAYE kwa kumpokea YEYE, NENO LAKE, kila siku, utaweza kuwa na nguvu za maisha YAKE zikiishi ndani yako hata utakapokufa. Hata hivyo, bidii yote ni lazima itolewe kwa jambo hili. Shetani hana mzaha na wewe! Anataka uingie Jehanamu na Ziwa la Moto pamoja naye.

MUNGU hana mzaha vilevile. yesu alikufa kwa ajili yetu msalabani Kalvari, kisha akafufuka kutoka kwa wafu na kupaa Mbinguni kututhibitishia kwamba YEYE ni MUNGU na ana nguvu ya kutuokoa na kutufufua siku ya mwisho.16

Upendo si ngono. Upendo ni kuzishika amri za MUNGU (1 Yohana 5:3).17 Kama ukifanya hivyo, utaishi. YESU alisema mtu asemaye kuwa ananijua MIMI (ananipenda) na hashiki amri ZANGU ni mwongo, na kweli haimo ndani yake (1 Yohana 2:4). “Na kama walivyokataa kuwa na MUNGU katika fahamu zao, MUNGU aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa,” (maisha yao ya upotovu) wafanye mambo ambayo Shetani anataka wafanye, na roho wake mbaya ndani yao huwafanya wapende kufanya hivyo vilevile (Warumi 1:28-32).

Wapumbavu na wawe wafalme na kutawala dunia kwa dhahabu, upotoshaji, siasa, na mambo mengine, lakini moyo wangu ulete upendo usiozeeka. Pokea mbegu ya maisha yasiyo na mwisho. Anza kwa kusali sala hii:

OMBI

BWANA wangu na MUNGU wangu, ihurumie roho yangu, mimi mwenye dhambi.1 Ninaamini kwamba YESU KRISTO ni mwana wa MUNGU aliye hai. 2 Ninaamini kwamba alikufa msalabani na kumwaga damu yake ya thamani ili nisamehewe dhambi zangu zote nilizozifanya hapo awali.3 Ninaamini kwamba Mungu alimfufua YESU kutoka kwa wafu kupitia nguvu za ROHO MTAKATIFU4 na ya kuwa ameketi upande wa kuume wa MUNGU kwa wakati huu akisikiliza maungamo ya dhambi zangu na haya maombi yangu.5 Ninafungua mlango wa moyo wangu na kukukaribisha moyoni mwangu, BWANA YESU. 6 Nioshe dhambi zangu kwa damu uliyoimwaga kwa ajili ya nafsi yangu pale msalabani Kalivari,7 hutanikataa, BWANA YESU, utanisamehe dhambi zangu na kuiokoa roho yangu. Ninalijua hili kwa sababu NENO LAKO, yaani Biblia linasema hivyo.8 NENO LAKO linasema hutamkataa yeyote na mimi nikiwemo.9 Hivyo ninajua umenisikia na umenijibu; na ninafahamu kwamba nimeokoka.10 Ninakushukuru BWANA YESU kwa kuokoa roho yangu na nitaonesha shukrani zangu kwa kufanya yale unayoniamuru na kwa kutotenda dhambi tena.11

Baada ya kuokoka, YESU alisema kuwa ni lazima kubatizwa kwa kuzamishwa kabisa kwenye maji mengi kwa jina la BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU.12 Kwa makini, soma Biblia ya KJV, tafsiri ya Kiswahili ya The Bible League, Waenezaji wa Neno la Mungu tangu 1938 na ufanye inavyosema.13

BWANA anakutaka uwaambie wengine kuhusu wokovu wako. Unaweza kusambaza makala ya Injili ya mchungaji Tony Alamo. Tutakutumia makala hizi bila malipo. Tupigie simu ama ututumie barua pepe kwa habari zaidi. Mshirikishe mtu mwingine na ujumbe huu.

Iwapo unataka dunia yote, iokolewe kama YESU anavyoamuru, basi usimwibie MUNGU zaka na sadaka zake. MUNGU alisema, “Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote [na dunia hii yote]. Leteni zaka [zaka ni asilimia 10 ya mapato yako yote] kamili ghalani, ili kiwemo chakula [chakula cha kiroho] katika nyumba yangu [roho zilizookolewa], mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi” (Malaki 3:8-12).


Swahili Alamo Literature

Tafadhali wasiliana nasi kwa habari zaidi au kwa vitabu vyetu vyenye mada nyingine ambazo unaweza kuvutiwa nazo:

Tony Alamo, World Pastor, Tony Alamo Christian Ministries Worldwide 

P.O. Box 2948, Hollywood, CA 90078

Namba yetu ya simu kwa ajili ya maombi na habari iliyo wazi kwa saa ishirini na nne ni: (661) 252-5686  •  Faksi: (661) 252-4362

Huduma ya Tony Alamo Christian Ministries Worldwide hutoa mahali pa kuishi pamoja na vitu vyote muhimu kwa maisha kwa wale walio Marekani ambao wanataka kumtumikia BWANA kwa mioyo yao yote, roho zao zote na nguvu zao zote.

Huduma yetu hufanyika jijini New York kila Jumanne, saa mbili usiku na mahali pengine kila usiku.

Tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba (908) 937-5723 kwa habari zaidi. CHAKULA HUTOLEWA BAADA YA KILA IBADA.

Tuma maombi ujipatie kitabu cha Mchungaji Alamo kiitwacho, The Messiah, kinachomwonesha KRISTO alivyo katika Agano la Kale kwa jumbe za unabii zipatazo 333.

Kuwa mmoja wa watumishi katika kuvuna roho za watu kwa kuwa msambazaji wa makala na vitabu vya Mchungaji Alamo

Machapisho yetu na jumbe kwenye tepu za sauti hayalipishwi kitu ikiwemo gharama ya kusafirisha kupitia meli.

Iwapo kuna mtu atajaribu kukulipisha, tafadhali tupigie simu kwa namba: (661) 252-5686.

MAKALA HIZI ZIMEBEBA MPANGO WA KWELI WA UKOMBOZI (Matendo ya Mitume 4:12)

USIZITUPE: ZIFIKISHE KWA MTU MWINGINE.

Kwa wale ambao mko kwenye nchi nyingine, tunawashauri kutafsiri makala hizi kwa lugha zenu. Iwapo mtachapisha tena, tafadhali jumuisha haki hii na usajili:

© Hatimiliki Novemba 2014, 2015 Haki zote zimehifadhiwa Mchungaji wa Dunia Tony Alamo ® Imesajiliwa Novemba 2014, 2015
SWAHILI—VOLUME 20500—THE ONLY WAY OUT


footnotes:

1. Mat. 4: 3-4, Yoh. 1: 1, 14, 1 Yoh. 1: 1-3, 5:11, Ufu 19:13 return

2. Mk. 16: 15-16, 1 Kor. 1: 21-24, 6:19, 2 Kor. 5: 17-21 return

3. Yoh. 15:16, 19, 17: 6, 14-16, 2 Kor. 6: 14-18, 1 Pet. 2: 9 return

4. Mat. 4: 4, 10:22, 24:13, Yoh. 5:24, 6:63, 11:26, Mdo. 14:22, Rum. 11:22, Kol. 1: 22-23, 1 Tim. 4:16, 2 Tim. 2: 1-3, 3: 13-17, 4: 5, Yak. 5: 10-11, 1 Yoh. 2: 24-25 return

5. Mwa. 19:1-13, 24-25, Law. 18:22, 20:13, Kumb. 22:5, 23:17-18, Amu. 19:22-28, 1 Fal. 14:24, 15:11-12, 2 Fal. 22:1-2, 23:7, Eze. 16:49-50, Rum. 1:18-32, 1 Kor. 6:9-10, 1 Tim. 1:9-10, 2 Tim. 3:1-5, Yud. 7, Ufu. 22:14-15 return

6. 1 Tim. 4:1-3, 2 Tim. 4:3-4, 2 Pet. 2:1-3 return

7. Kum. 4:39, 32:39, 1 Sam. 2:6-8, 1 Nya. 29:11-12, 2 Nya. 20:6, Zab. 46:1, Isa. 44:6, 45:23, Yer. 10:10, 18:6, Dan. 4:35-37, Yoh. 10:29, Mdo. 17:24-26, Ufu. 1:12-18 return

8. Mat. 4:1-11, Rum. 12:9, Efe. 4:27, 5:3-17, 1 The. 5:21-22 return

9. 1 Nya. 28:9, Ayu. 4:7-9, 21:14-20, Mit. 1:22-32, 8:36, 10:25, Isa. 1:15-20, Dan. 12:2-3, Lk. 12:4-9, Yn. 3:16-21, 36, Rum. 1:18, 1 Kor. 6:9-10, Yud. 14-15, Ufu. 20:11-15, 21:8, 27 return

10. Mat. 24:11-12, 24, 1 Tim. 4:1-2, 2 Tim. 3:13, 2 Pet. 2:1-3, Ufu. 13:1-4, 11-15, 14:8, 17:8, 18:2-3, 23 return

11. Mat. 8:16-17, 28-34, 9:32-33, 10:1, Mk. 1:34, 39, 7:25-30, 9:17-27, 16:9, Lk. 11:14 return

12.Yoh. 11:25-26, 14:6 return

13. 2 Sam. 14:14, 1 Nya. 29:15, Ayu. 7:6-10, 8:9, 9:25-26, 14:1-2, Zab. 22:29, 39:4-6, 11, 78:39, 89:47-48, 90:5-6, 9-10, 102:11, 103:14-16, 144:3-4, 146:4, Muh. 1:4, 3:19-21, 6:12, 12:7, Isa. 2:22, 40:6-8, 24, 51:12, Yak. 1:10-11, 4:14, 1 Pet. 1:24 return

14. Isa. 66:24, Dan. 12:1-3, Mat. 25:31-46, Mk. 9:42-48, Yoh. 5:26-29, Rum. 2:1-16, Ufu. 14:9-11 return

15. Kumb. 30:14-20, Yos. 24:14-15, Eze. 18:19-32, 33:11, Yoe. 3:14, Mat. 16:24-27 return

16. Mk. sura ya 16, Yoh. 11:25-26, Mdo. 2:29-33, 4:10-12, 1 Kor. 15:3-22, 1 Pet. 1:3-5 return

17. Kut. 20:6, Kum. 7:9, 11:1, 13-15, 30:16, Yos. 22:5, Yoh. 14:15, 21, 15:10, 2 Yoh. 6 return


Prayer footnotes:

1. Psa. 51:5, Rom. 3:10-12, 23 return

2. Matt. 26:63-64, 27:54, Luke 1:30-33, John 9:35-37, Rom. 1:3-4 return

3. Acts 4:12, 20:28, Rom. 3:25, I John 1:7, Rev. 5:9 return

4. Psa. 16:9-10, Matt. 28:5-7, Mark 16:9, 12, 14, John 2:19, 21, 10:17-18, 11:25, Acts 2:24, 3:15, Rom. 8:11, I Cor. 15:3-7 return

5. Luke 22:69, Acts 2:25-36, Heb. 10:12-13 return

6. I Cor. 3:16, Rev. 3:20 return

7. Eph. 2:13-22, Heb. 9:22, 13:12, 20-21, I John 1:7, Rev. 1:5, 7:14 return

8. Matt. 26:28, Acts 2:21, 4:12, Eph. 1:7, Col. 1:14 return

9. Matt. 21:22, John 6:35, 37-40, Rom. 10:13 return

10. Heb. 11:6 return

11. John 5:14, 8:11, Rom. 6:4, I Cor. 15:10, Rev. 7:14, 22:14 return

12. Matt. 28:18-20, John 3:5, Acts 2:38, 19:3-5 return

13. Deut. 4:29, 13:4, 26:16, Josh. 1:8, 22:5, 2 Tim. 2:15, 3:14-17, James 1:22-25, Rev. 3:18 return