KRISMASI NI WOKOVU

na Tony Alamo

Ilikuwa miezi tisa kabla ya siku ya Krismasi ya kwanza, kuzaliwa kwa KRISTO. MUNGU alikuwa, kama kawaida, ameketi kwenye kiti CHAKE cha enzi MBINGUNI.1 “NAYE [malaika wa BWANA] akanionyesha [Yohana, mtume] mto wa maji ya UZIMA, wenye kung’aa kama bilauri.” Mwanzo 1:7 inasema, “MUNGU akalifanya anga [ambalo ni kitenganishi kati ya maji ya mbingu na maji ya nchi], akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga [maji haya yaliyo juu ya anga ni ROHO MTAKATIFU, maji ya UZIMA, ambayo MUNGU huyapeleka kwa kila aaminiye katika KRISTO2]: na ikawa hivyo [na bado iko hivyo].”

Tena, hayajachafuliwa hata kidogo, bali ni halisi na “kung’aa kama bilauri, yakitoka katika kiti cha enzi cha MUNGU, na cha MWANA-KONDOO. Katikati ya njia kuu yake, na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwapo mti wa UZIMA, uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi; na majani ya mti huo ni ya kuwaponya mataifa” (Ufunuo 22:1-2).

Mto huu, uliomtunga YESU katika tumbo la Mariamu, ni mto ule ule ambao hatimaye utamzaa KRISTO na BABA kwa ROHO kwa kila muumini atakayeamini katika KRISTO.3 ROHO huyu huyu ni mto ambao utamfufua kila moja kutoka wafu katika siku ya mwisho,4 wengine kwa UZIMA wa milele, na wengine kwa aibu ya milele na hukumu (Danieli 12:2, Ufunuo 20:6).

Ufunuo 14:10-11 inazungumzia wale ambao watapata hukumu ya milele: “Yeye naye atakunywa katika mvinyo wa ghadhabu ya MUNGU, iliyotengenezwa pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira YAKE; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za MWANA-KONDOO: Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele: wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama [mnyama ni Umoja wa Mataifa wa Vatican, serikali moja ya dunia, iitwayo Mpango Mpya wa Dunia, uliotungwa na Cecil Rhodes] na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.” Mtu ye yote atakayejihusisha na serikali hii mbaya ya kishetani, ambayo MUNGU anaichukia, atapaswa kutubia haraka dhambi hii, kisha azaliwe tena kwa ROHO, mto wa UZIMA, na aanze kumtumikia BWANA.

Tena, MUNGU alikuwa akijiandaa kumtuma MWANAWE wa pekee kutoka kiti cha enzi cha MUNGU ndani ya tumbo la Mariamu, kwa ROHO MTAKATIFU, mto wa UZIMA, kuwa MUNGU-MWANADAMU wa kwanza (Adamu wa mwisho). “Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni ROHO yenye kuhuisha [ITOAYO-UZIMA]” (1 Wakorintho 15:45). Hii ilikuwa kuwapa wanadamu wote nafasi ya pili kuokoka kutoka kwenye maisha ya dhambi, kutoka kwenye mtego wa Shetani, na kutoka kwenye Jehannamu ya milele, katika Ziwa la Moto na Kiberiti.5

KRISTO, ambaye ni NENO la MUNGU, ilimpasa kuzaliwa katika mwili kwa namna tofauti kuliko mtu yeyote yule. ATAKUWA mwanadamu, tena ATAKUWA asiye na dhambi kwa sababu ALIZALIWA kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU, mto wa UZIMA kutoka kwenye kiti cha enzi cha MUNGU aliye hai.6 Ilimpasa MASIHI WA MUNGU kushuka kutoka mbinguni kuwa MWANA wa MUNGU ndani ya tumbo la binti mdogo bikira.7 Kihistoria Mariamu alijulikana kuwa na umri wa kati ya miaka 9 au 10 wakati wa utungwaji wa mimba safi isiyo na mawaa ya YESU tumboni mwake.

Kulikuwa na kumiminwa kwa ROHO MTAKATIFU WA MUNGU wakati ule katika dunia yote ambaye amedumu hadi leo hii. Kumiminwa huku kwa ROHO MTAKATIFU kulikuwa kumetabiriwa na nabii Yoeli katika Yoeli 2:28-31: “Hata itakuwa baada ya hayo, ya kwamba nitamimina ROHO YANGU juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono; tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina ROHO YANGU. Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na moto, na minara ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.” Kila mtu alikuwa akitarajia MASIHI WA MUNGU kuonekana katika tukio la wakati ule.

YESU alikuwa mwanadamu wa kwanza kuzaliwa kwa mto wa UZIMA (ROHO MTAKATIFU). Ili kila mmoja aokoelewe au aendelee kuokolewa na kwa ROHO MTAKATIFU, ni lazima anywe maji ya mto wa UZIMA na ale matunda ya mti wa UZIMA mara zote kila siku.8 Ni lazima pia ale majani ya mti wa UZIMA kila siku kwa ajili ya uponyaji wa mataifa, au atakufa hakika.

Katika Mwanzo 2:17, MUNGU alisema kwamba siku utakapokula matunda ya ujuzi wa mema na mabaya (ulimwengu), “hakika utakufa.” Usipokula matunda ya mti wa UZIMA na kunywa katika mto wa UZIMA mara zote kila siku, kwa hakika unakula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, jambo linalomaanisha utakufa hakika. Neno hili latoka kwa MUNGU, na MUNGU hawezi kudanganya.9 Waebrania 6:18 anathibitisha ukweli huu, akisema “ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo MUNGU hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu.” Vitu viwili visivyobadilika ni kwamba ni lazima tule matunda ya mti wa UZIMA mara zote kila siku na tunywe katika mto wa UZIMA, ambao ni ROHO MTAKATIFU, mara zote kila siku.

Isaya 7:14 inasema, “Kwa hiyo BWANA MWENYEWE atawapa ishara; Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa MTOTO MWANAMUME, NAYE atamwita jina LAKE IMANUELI.” Na tena, Isaya 9:6 inasema, “Maana kwa ajili yetu MTOTO amezaliwa, tumepewa MTOTO MWANAMUME: na uweza wa kifalme utakuwa begani MWAKE: naye ataitwa jina LAKE, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI.”

“Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na MUNGU kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, Kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa [amechumbiwa] na mtu [mtu aliyekomaa kimyaka], jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu. Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, BWANA yu pamoja nawe. Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa MUNGU. Tazama, utachukua mimba na kuzaa MTOTO MWANAMUME; na jina LAKE utamwita YESU. HUYO atakuwa mkuu, ataitwa MWANA wa ALIYE JUU: na BWANA MUNGU ATAMPA kiti cha enzi cha Daudi, baba YAKE: ATAIMILIKI nyumba ya Yakobo hata milele: na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.

“Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? Malaika akajibu akamwambia, ROHO MTAKATIFU atakujilia juu yako, na nguvu zake ALIYE JUU zitakufunika kama kivuli: kwa sababu hiyo hicho KITAKATIFU kitakachozaliwa kitaitwa, MWANA wa MUNGU” (Luka 1:26-35).

Kulikuwa na nabii nyingine 333 zinazohusu ujio wa kwanza wa KRISTO ambazo zilitimilizwa siku ya Krismasi na katika MAISHA YAKE yote.10 Watu wengi wa dunia walikuwa na uelewaji wa nabii chache kati ya hizi. Hata mwovu Mfalme Herode alikuja kuelewa kuhusu baadhi ya nabii hizi, kama ule wa KRISTO kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi. Wakati huo, Mfalme Herode “akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, kuhusu alikozaliwa KRISTO. Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Uyahudi: kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii, Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda: Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu WANGU Israeli. Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota. Akawapeleka Bethlehemu, akasema Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya MTOTO; na mkiisha KUMWONA, nileteeni habari, ili mimi nami niende NIMSUJUDIE. Nao waliposikia maneno ya Mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo MTOTO. Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno. Wakaingia nyumbani, wakamwona MTOTO pamoja na Mariamu MAMAYE, wakaanguka WAKAMSUJUDIA; nao walipokwisha kufungua hazina zao, WAKAMTOLEA; dhahabu na uvumba na manemane.

“Nao wakiisha kuonywa na MUNGU katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwa njia nyingine. Na hao walipokwisha kwenda zao, tazama, malaika wa BWANA alimtokea Yusufu katika ndoto, akasema, Ondoka, umchukue MTOTO na mama YAKE, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikwambie; kwa maana Herode anataka KUMTAFUTA mtoto amwangamize. Akaondoka akamchukua MTOTO na mama YAKE usiku, akaenda zake Misri; akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na BWANA kwa ujumbe wa nabii, akisema, kutoka Misri nalimwita MWANANGU.

“Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhibika sana, akatuma watu wakawaue watoto wote wanaume waliokuwa wako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi. Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Sauti ilisikiwa Rama, Kilio, na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawako” (Mathayo 2:4-18).

Watu wengi hawampokei KRISTO wala kuendelea katika YEYE kwa hofu ya mateso na dhiki.11 Mathayo 13:20-21 inasema, “Naye aliyepandwa MBEGU penye miamba [moyo wa jiwe], huyo ndiye alisikiaye lile NENO, akalipokea mara kwa furaha; lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda: ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile NENO, mara huchukizwa” – naweza kuongeza, anaogopa. Watu wanaweza kusema, “Oh! Oh! Sikutaka hili! Nilitaka kupata faida na utukufu na zawadi ya wokovu, lakini si hili (udhia na dhiki).” Hivyo wao hujitenga hutanga mbali na BWANA, na kuishia kwenye Ziwa la Moto milele, ambalo ni baya zaidi kuliko dhiki na udhia. Sote tunapaswa kumshukuru MUNGU kwamba YESU, Mariamu na Yusufu hawakukimbia kutoka kwenye mateso yao na dhiki.

Siku ya Krismasi, MWOKOZI alizaliwa. Hata zaidi ya MWOKOZI, MUUMBA wa Mbingu na nchi alizaliwa katika mwili.12 ALIUMBA pia jua, mwezi, makundi yote ya nyota, sayari, na nyota, oksijeni, mvutano, kila atomu, na kila molekuli. Yohana 1:3-5 inasema, “Vyote vilifanyika kwa HUYO; wala pasipo YEYE hakikufanyika chochote kilichofanyika. Ndani YAKE ndimo ulimokuwa UZIMA, nao ule UZIMA ulikuwa NURU ya watu. Nayo NURU yang’aa gizani [dunia hii ya giza]; wala giza halikuiweza [watu wa kimwili wa dunia hii waliojawa na giza hawawezi kuelewa mambo ya ulimwengu wa kiroho].”

Watu wanapopiga taswira ya KRISTO akiwa ameketi kwenye kiti CHAKE cha enzi Mbinguni (na ni lazima tupige taswira, vinginevyo tunapotea13), twaona mto huu wa maji ya UZIMA “ukitoka katika kiti cha enzi cha MUNGU, na cha MWANA-KONDOO [kiti CHAKE cha enzi]. Katikati ya njia kuu yake, na upande huu na upande huu wa ule mto, ulikuwepo mti wa UZIMA [ambao pia ni mfano wa YESU, NENO la MUNGU], uzaao matunda, aina kumi na mbili, wenye kutoa matunda yake kila mwezi: na majani ya mti huo ni ya kuwaponya mataifa” (Ufunuo 22:1-2).

Akili ya mwanadamu haiwezi kabisa kuelewa mambo yote ambayo nguvu ya MUNGU mwenyezi inafanya, hasa yale yote ANAYOFANYA kwa wakati mmoja. Nitaanza kwanza katika kazi YAKE ya kushughulika na majaribu na mateso ya kila mwanadamu, magonjwa yao, maradhi, na udhaifu, furaha yao na huzuni, vizazi vyao na vifo vyao, uponyaji wao, sala zao, utumishi wao na upokezi wa NENO LAKE, vita vyao na matetesi ya vita. Tena anashughulika na watu wanaotazamia kuua, kutoa mimba, kujiua, na dhambi nyingine zote, kama ushoga, uzinzi, uasherati, usagaji, na kuzini na wanyama. MUNGU Anafahamu sana kila unyasi, vile vile hata viumbe wa mmeng’enyo wa kila ndege, kila samaki, kila mnyama, na kila mwanadamu. ANAFAHAMU sana hisia za kila mwanadamu na tamaa za kila mtu. Anajua wakati yeyote ANAPOMWEKA pembeni kama vile YEYE si kitu.14

Kuna mfano kuhusu hili katika Biblia. Ni mfano wa mbegu ya haradali, ambayo YESU aliiweka mbele ya watu, akisema, “Ufalme wa mbinguni [NENO LA MUNGU] umefanana na punje ya haradali [watu wa dunia hii wanaoliona NENO la MUNGU, Ufalme wa Mbinguni, kuwa si kitu, na mdogo kuliko mambo yote, ndogo kuliko mbegu zote (MANENO)], aliyoitwaa mtu akaipanda katika shamba lake [moyo wake]; Nayo [haradali] ni ndogo kuliko mbegu zote; lakini ikiisha kumea, huwa kubwa kuliko mimea yote, ikawa mti, hata nyuni wa angani huja na kukaa katika matawi yake” (Mathayo 13:31-32).

NENO la MUNGU kwa imani linapojiimarisha kwenye moyo wa mtu, linakuwa mti mkubwa, kwa sababu mtu mwenye imani huanza kulitangaza NENO la MUNGU kwa upeo na mapana, na kanisa linakuwa kutoka kwake. Hata hivyo, kanisa linapokua, linakuwa makazi ya watu wengi. Baadhi ya watu wenye mapepo hujipenyeza kuingia kanisani, wakijaribu kuliharibu kwa kupanda mafundisho ya uongo na kufanya mashitaka ya uongo kwa wazee ikiwa ni utii wao kwa Shetani.15

Mapepo katika mfano huu wamefananishwa na ndege wa angani ambao huja na kukaa katika matawi yake. Wamo katika kila kanisa la kweli. Kazi ya Shetani ni kuzuia kazi ya MUNGU kwa kila njia ajuayo, na anajua njia nyingi tofauti-tofauti.16 Amekuwa na uzoefu wa miaka 7,000. Hii ndio sababu tunalazimika kuwa na nia ya KRISTO (1 Wakorintho 2:16) na silaha zote za MUNGU (Waefeso 6:11) ili tuweze kuzipinga hila za Shetani.17 1 Petro 5: 8 inasema, “Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.” Kwa hiyo, “Basi mtiini MUNGU, Mpingeni Shetani, naye atawakimbia” (Yakobo 4:7).

Inaonekana kuwa kazi ya kuchosha kwa watu ulimwenguni kujiokoa wenyewe kutoka kwenye uharibifu wa ulimwengu huu wa sasa. Wanaona ni vigumu kuelekeza akili zao kwenye kiti cha enzi cha MUNGU, KRISTO pamoja na BABA YAKE ambao wanaketi juu yake, na ROHO saba za MUNGU, ambazo ni macho ya MUNGU kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Zekaria, sura ya 4, mstari wa 10: “hizi saba [ROHO za MUNGU] ndizo macho ya BWANA; yapiga mbio huko na huko duniani mwote.” Pia, Isaya 11:2 inaelezea majina ya ROHO saba za MUNGU, ambazo ni 1) ROHO ya MUNGU, 2) ROHO ya hekima, 3) ROHO ya ufahamu, 4) ROHO ya shauri, 5) ROHO ya uweza, 6) ROHO ya maarifa, na 7) ROHO ya kumcha BWANA.

Ufunuo 1:4 inasema, “Yohana, kwa yale makanisa saba yaliyoko Asia [Uturuki]; Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwake YEYE aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja; na zitokazo kwa ROHO saba walioko mbele ya kiti chake cha enzi.” Na Ufunuo 3:1 inasema, “Haya ndiyo anenayo YEYE [YESU] aliye na hizo ROHO saba za MUNGU, na zile nyota saba.”
Kwa mahangaiko yote ya dunia, unawezakosa ufahamu wa ukweli kwamba MUNGU anajua kila kitu kinachoendelea ulimwenguni mwote, au kuwa ROHO WAKE anajua hasa kile unachofikiri na mahali ulipo. Anajua kila jambo kukuhusu.18 Tatizo ni kwamba hujui kuwa MUNGU anamimina mto WAKE wa UZIMA, ROHO WAKE wa UZIMA, juu yako ili uvipokee kama UZIMA wako wa milele. Una maisha ya kidunia, ambayo yatakoma hivi punde, labda mapema kuliko udhaniavyo. Hata hivyo, MUNGU anataka upokee UZIMA WAKE wa milele katika roho yako ya milele ya kibinadamu ili uweze kuishi NAYE milele Mbinguni.

Unao mwili, nafsi, na roho. Biblia inasema kwamba mwili haufai kitu (Yohana 6:63), na nafsi itendayo dhambi inapaswa kutengwa, ila roho yako – kama unataka UZIMA wa milele – ni lazima upokee ROHO ya KRISTO ya UZIMA wa milele ndani yake. Mto wa UZIMA wa milele unakusubiri upokee UZIMA, ambao upo ndani ya KRISTO YESU. Hivyo sema sala hii:

OMBI

BWANA wangu na MUNGU wangu, ihurumie roho yangu, mimi mwenye dhambi.1 Ninaamini kwamba YESU KRISTO ni mwana wa MUNGU aliye hai. 2 Ninaamini kwamba alikufa msalabani na kumwaga damu yake ya thamani ili nisamehewe dhambi zangu zote nilizozifanya hapo awali.3 Ninaamini kwamba Mungu alimfufua YESU kutoka kwa wafu kupitia nguvu za ROHO MTAKATIFU4 na ya kuwa ameketi upande wa kuume wa MUNGU kwa wakati huu akisikiliza maungamo ya dhambi zangu na haya maombi yangu.5 Ninafungua mlango wa moyo wangu na kukukaribisha moyoni mwangu, BWANA YESU. 6 Nioshe dhambi zangu kwa damu uliyoimwaga kwa ajili ya nafsi yangu pale msalabani Kalivari,7 hutanikataa, BWANA YESU, utanisamehe dhambi zangu na kuiokoa roho yangu. Ninalijua hili kwa sababu NENO LAKO, yaani Biblia linasema hivyo.8 NENO LAKO linasema hutamkataa yeyote na mimi nikiwemo.9 Hivyo ninajua umenisikia na umenijibu; na ninafahamu kwamba nimeokoka.10 Ninakushukuru BWANA YESU kwa kuokoa roho yangu na nitaonesha shukrani zangu kwa kufanya yale unayoniamuru na kwa kutotenda dhambi tena.11

Baada ya kuokoka YESU alisema ni lazima kubatizwa kwa kuzamishwa kabisa kwenye maji mengi kwa jina la BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU.12 Kwa makini soma Biblia ya KJV, tafsiri ya Kiswahili ya The Bible League, Waenezaji wa Neno la MUNGU tangu 1938 na ufanye inavyosema.13

Kama unapenda kumtumikia BWANA, unaweza kufanya hivyo katika kanisa letu kama ukizishika sheria.

Kisha, kama anavyoamuru YESU, kuwa muongoaji roho. Unaweza kufanya hivi kwa kuwa msambazaji wa maandiko ya Mchungaji Alamo. Tunachapa maandiko ya Mchungaji Alamo katika lugha nyingi, na kuyapeleka kote ulimwenguni. Tunatumia mamilioni ya dola kwenye karatasi na usafirishaji, hivyo tunahitaji sala zako na msaada wa kifedha.

Iwapo unataka dunia yote iokolewe, kama YESU anavyoamuru, basi usimwibie MUNGU zaka na sadaka zake. MUNGU alisema, “Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote [na dunia hii yote]. Leteni zaka [zaka ni asilimia 10 ya mapato yako yote] kamili ghalani, ili kiwemo chakula [chakula cha kiroho] katika nyumba yangu [roho zilizookolewa], mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi” (Malaki 3:8-12).

MUNGU anatuamuru kuwasahihisha na kuwaadhibu watoto wetu.14 Ndoa imeruhusiwa na MUNGU katika umri wa kupevuka wakati ambapo watoto wanakuwa wanaume na wanawake. Kuzuia hili ni mafundisho ya Shetani (1 Timotheo 4:1-3). Mchungaji Alamo yupo gerezani kwa kuhubiri kile isemacho Biblia.


Swahili Alamo Literature

Tafadhali wasiliana nasi kwa habari zaidi au kwa vitabu vyetu vyenye mada nyingine ambazo unaweza kuvutiwa nazo:

Tony Alamo, World Pastor, Tony Alamo Christian Ministries Worldwide 

P.O. Box 2948, Hollywood, CA 90078

Namba yetu ya simu kwa ajili ya maombi na habari iliyo wazi kwa saa ishirini na nne ni: (661) 252-5686  •  Faksi: (661) 252-4362

Huduma ya Tony Alamo Christian Ministries Worldwide hutoa mahali pa kuishi pamoja na vitu vyote muhimu kwa maisha kwa wale walio Marekani ambao wanataka kumtumikia BWANA kwa mioyo yao yote, roho zao zote na nguvu zao zote.

Huduma yetu hufanyika jijini New York kila Jumanne, saa mbili usiku na mahali pengine kila usiku.

Tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba (908) 937-5723 kwa habari zaidi. CHAKULA HUTOLEWA BAADA YA KILA IBADA.

Tuma maombi ujipatie kitabu cha Mchungaji Alamo kiitwacho, The Messiah, kinachomwonesha KRISTO alivyo katika Agano la Kale kwa jumbe za unabii zipatazo 333.

Kuwa mmoja wa watumishi katika kuvuna roho za watu kwa kuwa msambazaji wa makala na vitabu vya Mchungaji Alamo

Machapisho yetu na jumbe kwenye tepu za sauti hayalipishwi kitu ikiwemo gharama ya kusafirisha kupitia meli.

Iwapo kuna mtu atajaribu kukulipisha, tafadhali tupigie simu kwa namba: (661) 252-5686.

MAKALA HIZI ZIMEBEBA MPANGO WA KWELI WA UKOMBOZI (Matendo ya Mitume 4:12)

USIZITUPE: ZIFIKISHE KWA MTU MWINGINE.

Kwa wale ambao mko kwenye nchi nyingine, tunawashauri kutafsiri makala hizi kwa lugha zenu. Iwapo mtachapisha tena, tafadhali jumuisha haki hii na usajili:

© Hatimiliki Desemba 2013, 2015   Haki zote zimehifadhiwa Mchungaji wa Dunia Tony Alamo   ® Imesajiliwa Desemba 2013, 2015
SWAHILI—VOLUME 18800—CHRISTMAS IS SALVATION


footnotes:

1. 1 Fal. 22:19, Zab. 2:4, 9:4, 11:4, 47:8, 103:19, Isa. 6:1, 66:1, Dan. 7:9-10, Mat. 5:34-35, 23:21-22, Mdo. 7:48-49, Ufu. 4:2-6, 9-10, 5:1, 6-7, 13, 6:16, 7:9-11, 15, 17, 12:5, 16:17, 19:4-5, 20:11, 21:5, 22:1, 3 return

2. Yoh. 3:5-6, 4:7-14, 7:37-39, Efe. 5:25-27, Ebr. 10:21-23, 1 Yoh. 5:5-8, Ufu. 21:6 return

3. Eze. 36:27, Yn 4:13-14, 14:15-26, 15:1-11, 26, 16:7-14, 17:20-23, 26, 1 Kor. 3:9, 16-17, 6:19-20, 2 Kor. 6:16-18, Gal. 2:20, Efe. 2:18-22, Fil. 2:12-13, Kol. 1:27-29, 2 Tim. 1:14, Ufu. 21:6, 22:17 return

4. Ayu. 19:25-27, Zab. 17:15, 49:15, Dan. 12:1-3, Hos. 13:14, Mat. 3:11-12, 8:11-12, 13:24-43, 25:30-46, Yoh. 5:21-29, 6:39-54, 11:23-27, Mdo. 24:14-15, Rum. 8:10-23, 1 Kor. 6:14, 15:35-54, 2 Kor. 4:14, Ufu. 20:11-15, 21:8 return

5. Lk. 24:46-47, Yn 12:23-24, Mdo. 26:15-18, Rum. 5:6-21, 8:32-34, 1 Kor. 15:45-57, Gal. 4:4-5, Efe. sura ya. 2, Kol. 1:12-14, 1 Thes. 1:9-10, Ebr. 9:13-15, 1 Pet. 1:3-5, Ufu. 1:18 return

6. Isa. 7:14-15, Rum. 8:3, Fil. 2:6-8, Ebr. 2:16-18, 4:14-15, 5:8-9, 7:26-28, 9:14, 1 Pet. 1:18-19, 2:22, 1 Yoh. 3:5-6, Ufu. 5:1-10 return

7. Isa. 7:14, Mat. 1:18-25, Lk. 1:26-37 return

8. Kum. 8:3, Yos. 1:8, Isa. 55:1-3, Mat. 4:4, 5:6, 26:26-28, Yoh. 4:10, 14, 6:31-35, 48-58, 63, 7:37-39, 2 Tim. 2:15, 3:14-17, Ufu. 21:6, 22:1-2, 17 Hes. 23:19, Kum. 7:9-10, 32:4, Yos. 23:14-16, 1 Sam. 15:29, Zab. 36:5, 89:34, 100:5, 105:7-10, Yoh. 17:17, Rum. 3:4, 1 Thes. 5:24, 2 Tim. 2:13, Tit. 1:1-2, Ebr. 6:10-19 return

9. Hes. 23:19, Kum. 7:9-10, 32:4, Yos. 23:14-16, 1 Sam. 15:29, Zab. 36:5, 89:34, 100:5, 105:7-10, Yoh. 17:17, Rum. 3:4, 1 Thes. 5:24, 2 Tim. 2:13, Tit. 1:1-2, Ebr. 6:10-19 return

10. The Messiah According to Bible Prophecy (Masihi kwa Mujibu wa Unabii wa Biblia) na Mchungaji Tony Alamo return

11. Mat. 7:13-14, 10:16-22, 34-39, 13:3-9, 18-23, 24:8-13, Mk. 4:14-19, Lk. 9:23-26, 62, Ebr. 10:32-39, 12:1-4, Ufu. 21:7-8 return

12. Isa. 9:6-7, Lk. 1:31-35, Fil. 2:5-11, Kol. 1:12-20 return

13. Mit. 29:18, Mat. 13:10-16, Mdo. 28:27, Rum. 8:24-25, 2 Kor. 9:24-25, Fil. 3:13-15 return

14. 1 Sam. 16:7, 1 Fal. 8:39, 2 Fal. 19:27, 1 Nya. 28:9, Ayu. 31:4, 34:21-22, 25, Zab. 44:21, 50:21-22, 139:1-6, 12-16, Mit. 1:25-33, 15:3, 11, Isa. 42:9, Yer. 16:17, Eze. 11:5, Mat. 6:8, Lk. 16:15, Mdo. 15:18 return

15. Dan. 11:30-32, Mat. 7:13-23, 10:16-18, 21-28, 13:24-31, 36-43, 47-50, 24:9-12, Mdo. 20:28-31, Gal. 2:3-5, 2 Pet. sura ya. 2, 1 Yoh. 2:18-19, 4:1-6, 2 Yoh. 7-11, Yud. 3-19 return

16. Isa. 14:4-20, Mat. 24:24, Yoh. 8:44, 10:10, 2 Kor. 4:3-4, 11:13-15, 2 Thes. 2:3-12, 1 Pet. 5:8, 1 Yoh. 4:1, Ufu. 2:9, 12:9, 13:1-8, 11-14, 16:13-14, 20:8-15 return

17. 1 Kor. 2:11-16, 15:57-58, 16:13, 2 Kor. 6:1, 4-7, 10:3-6, Efe. 4:27, 6:10-18, Fil. 2:5, 1 Thes. 5:3-9, 21, 1 Tim. 6:12, 2 Tim. 2:3-4, Ebr. 4:12, 12:1-4, Yak. 4:7, 1 Pet. 5:8-10, 1 Yoh. 5:4 return

18. Kumb. 31:21, 1 Sam. 16:7, 2 Fal. 19:27, 2 Nya. 16:9, Zab. 7:9, 66:7, 139:1-6, 12-16, Isa. 29:15-16, 46:9-10, 48:5, Yer. 1:5, Amo. 9:1-4, Lk. 12:2-7, Rum. 8:27-29, 1 Yoh. 3:20 return


Prayer footnotes:

1. Zab. 51:5, Rum. 3:10-12, 23   return

2. Mat. 26:63-64, 27:54, Lk. 1:30-33, Yoh. 9:35-37, Rum. 1:3-4   return

3. Mdo. 4:12, 20:28, Rum. 3:25, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 5:9   return

4. Zab. 16:9-10, Mat. 28:5-7, Mk. 16:9, 12, 14, Yoh. 2:19, 21, 10:17-18, 11:25, Mdo. 2:24, 3:15, Rum. 8:11, 1 Kor. 15:3-7   return

5. Lk. 22:69, Mdo. 2:25-36, Ebr. 10:12-13   3 return

6. 1 Kor. 3:16, Ufu. 3:20   return

7. Efe. 2:13-22, Ebr. 9:22, 13:12, 20-21, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 1:5, 7:14   return

8. Mat. 26:28, Mdo. 2:21, 4:12, Efe. 1:7, Kol. 1:14   return

9. Mat. 21:22, Yoh. 6:35, 37-40, Rum. 10:13   return

10. Ebr. 11:6   return

11.Yoh. 5:14, 8:11, Rum. 6:4, 1 Kor. 15:10, Ufu. 7:14, 22:14   return

12. Mat. 28:19-20, Yoh. 3:5, Mdo. 2:38, 19:3-5   return

13. Yos. 1:8, 22:5, Zab. 1:1-2, 2 Tim. 2:15, 3:14-17, Yak. 1:22-25, Ufu. 3:18   return

14. Mit. 13:24, 19:18, 22:6, 15, 23:13-14, 29:15, 17, Ebr. 12:5-11, Ufu. 3:19 return